155. Njiani Huniongoza
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 155
Verse 1
Njiani huniongoza. Yesu wangu, Mwokozi;
Rehema hatapunguza, Milele Kiongozi.
Ina raha kwandamana Duniani daima;
Nijaposumbuka sana, Yeye hutenda vyema,
Verse 1
Njiani huniongoza Hupunguza matata;
Nikiugua hupoza, Na njaani nashiba.
Lichokapo guu langu Nguvu zikapungua,
Jiwe lilo mbele yangu Hunibubujikia.
Verse 2
Njiani huniongoza Kwa pendo zilizo kuu,
Mwisho atanituliza Kwake Baba yangu juu.
Nikivikwa kutokufa, Nikae na Mwokozi,
Nitamsifu sana; sifa: Kweli ni Kiongozi.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 62. NAPENDA KITABU CHAKE
- 64. PIGA PANDA
- 178. Ukingoni Mwa Yordani
- 61. BWANA, NAMI
- 156. Uniongoze, Yehova
- 120. Msalaba wa Yesu
- 4. Jina La Yesu, Salamu
- 187. KUFARIKI NAYE YESU
- 8. UJE MKOMBOZI
- 131. Baba Anilinda
- 55. TWAPANDA MAPEMA
- 192. Mwamba Wenye Imara
- 208. Mungu Afanya Upinde
- 37. PENDO LAKO, EE MWOKOZI
- 34. HADITHI KISA CHA YESU
- 134. Tafuta Daima Utakatifu