134. Tafuta Daima Utakatifu
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 134
Verse 1
Tafuta daima utakatifu;
Fanya urafiki na wakristo tu;
Nena siku zote na Bwana wako,
Baraka uombe kwa kila jambo.
Verse 1
Tafuta saima utakatifu:
Uwe peke yako ukimwabudu;
Ukimwangalia Mwokozi wako,
Utabadilishwa kama alivyo.
Verse 2
Tafuta daima utakatifu;
Kiongozi wako awe Yesu tu;
Katika furaha au huzuni
Dumu kumfuata Yesu Mwokozi.
Verse 3
Tafuta daima utakatifu;
Umtawaze Roho moyoni mwako,
Akikuongoza katika haki,
Hufanywa tayari kwa kazi yake.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 13. YESU UJE KWETU
- 171. Hukumu
- 65. TWENDENI ASKARI
- 122. Yote Namtolea Yesu
- 157. Mfalme Yu Mlangoni
- 22. USINIPITE MWOKOZI
- 131. Baba Anilinda
- 138. Nitakuandama Kote
- 41. ROHO MTAKATIFU
- 185. MUNGU MAPENZI MAKAMILIFU
- 9. MWUMBAJI, MFALME
- 75. Msingi Imara, Ninyi Wa Bwana
- 192. Mwamba Wenye Imara
- 212. Mtazame Mwokozi
- 209. Napenda Sana Kifika
- 35. NIMEKOMBOLEWA NA YESU