35. NIMEKOMBOLEWA NA YESU
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 35
Verse 1
Nimekombolewa Na Yesu Na Sasa Nimefurahi;
Kwa Bei Ya Mauti Yake Mimi Ni Mtoto Wake.
Chorus 1
Kombolewa! Nakombolewa Na Damu;
Kombolewa! Mimi Mwana Wake Kweli.
Verse 2
Kukombolewa Na Furahi, Kupita Lugha Kutamka;
Kulionyesha Pendo Lake, Mimi Ni Mtoto Wake.
Chorus 3
Kombolewa! Nakombolewa Na Damu;
Kombolewa! Mimi Mwana Wake Kweli.
Verse 4
Nitamwona Mfalme Wangu Katika Uzuri Wake;
Ambaye Twajifurahisha Katika Torati Yake.
Chorus 5
Kombolewa! Nakombolewa Na Damu;
Kombolewa! Mimi Mwana Wake Kweli.
Verse 6
Najua Taji Imewekwa Mbinguni Tayari Kwangu;
Muda Kitambo Atakuja, Ili Alipo, Niwepo.
Chorus 7
Kombolewa! Nakombolewa Na Damu;
Kombolewa! Mimi Mwana Wake Kweli.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 170. Jina Langu Limeandikwa Je?
- 118. Nilipotoka Kabisa
- 79. Nataka Imani Hii
- 25. TAJI MVIKENI
- 163. Anakuja, Bwana Yesu
- 59. FANYENI KAZI ZENU
- 73. Bwana, Uniongoze Juu
- 171. Hukumu
- 104. Yesu Aliniita “Njoo”
- 139. Uliniimbie Tena
- 142. Nasikia Sauti Yako
- 165 – Uwe Imara
- 167. Yu Hai, Yu Hai
- 219. Pambazuka Nuru
- 184. PANAPO PENDO
- 89. Asubuhi