59. FANYENI KAZI ZENU
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 59
Verse 1
Fanyeni Kazi Zenu, Usiku Si Mbali;
Kesheni Saa Zenu Vumilieni;
Kwa Yesu Tumikeni Na Hiyo Injili.
Sana Wahubirini Watu Wa Mbali.
Verse 1
Fanyeni Kazi Zenu Giza Ya Songea;
Na Wengi Wenzi Wenu Wamo Gizani,
Msipoteze Moja Dakika Ni Hizi;
Mwana Atarejea Mwisho Wa Kazi.
Verse 2
Fanyeni Kazi Zenu, Hivi Jua Lachwa;
Wote Walio Kwenu Apenda Mungu;
Na Sisi Tumjuaye Na Tuwafundishe
Ili Yesu Ajaye Tumfurahishe.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 170. Jina Langu Limeandikwa Je?
- 201. Hunipenda Pia.
- 217. Omba Sana Asubuhi
- 73. Bwana, Uniongoze Juu
- 128. Taamini Nitii Pia
- 163. Anakuja, Bwana Yesu
- 197. Anipenda Ni Kweli
- 152. Karibu Na Wewe, Mungu Wangu
- 92. Magharibi Jua
- 155. Njiani Huniongoza
- 205. Msifu Mungu Ee Watoto
- 173. Hatujui Saa
- 216. Moyoni 'Nijaze
- 198. Kaza Sana Macho
- 57. USIKATAE KAZI
- 209. Napenda Sana Kifika