173. Hatujui Saa
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 173
Verse 1
Hatujui sa-a ya kuja kwwa Bwana, Lakini dakiki zasema karibu
Atakporudi,-lakini kwa kweli Hatujui sa-a.
Chorus 1
Atakuja, kwa vile tukeshe;
Atakuja Mwokozi, Aleluya!
Atakuja kwa fahari yu Baba yake,-
Hatujui sa-a.
Verse 2
Pana nuru kwao wapendao haki,
pana kweli katika chuo cha Mungu;
Unabii hufundisha kuja kwake,-Hatujui saa.
Chorus 3
Atakuja, kwa vile tukeshe;
Atakuja Mwokozi, Aleluya!
Atakuja kwa fahari yu Baba yake,-
Hatujui sa-a.
Verse 4
Tutakesha na tutaomba daima, Tutafanya kazi mpaka akija,
Tutaimba na tutasoma ishara,-Hatujui saa.
Chorus 5
Atakuja, kwa vile tukeshe;
Atakuja Mwokozi, Aleluya!
Atakuja kwa fahari yu Baba yake,-
Hatujui sa-a.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 83. Ewe Skuli Ya Sabato
- 128. Taamini Nitii Pia
- 5. NA TUMWABUDU MFALME MTUKUFU
- 115. Naendea Msalaba
- 129. Kumtegemea Mwokozi
- 203. Ya Saba Ni Kwa Yesu
- 181. TUTAKAA MAHALI PA MAJI
- 162. Tumaini Liko
- 77. Habari Za Usiku
- 166 – Furaha Kwa Ulimwengu
- 95. Zileteni Zaka Kwa Hazina
- 118. Nilipotoka Kabisa
- 205. Msifu Mungu Ee Watoto
- 111. Tabibu Mkuu
- 131. Baba Anilinda
- 219. Pambazuka Nuru