5. NA TUMWABUDU MFALME MTUKUFU
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 5
Verse 1
Na Tuumwabudu Huyo Mfalme,
Sifa Za Nguvu Zake Ziimbe;
Ni Ngao, Ni Ngome, Yeye Milele,
Ndizo Sifa Zake Kale Na Kale.
Verse 1
Tazameni Ulimwengu Huu,
Ulivyoumbwa, Ajabu Kuu;
Sasa Umewekwa Pahali Pake,
Hata Utimize Majira Yake.
Verse 2
Kwa ulinzi wako kwetu Bwana,
Twakushukuru U mwema sana;
Hupewa chakula kila kiumbe,
Kila kitu kina mahali pake.
Verse 3
Wanadamu tu wanyonge sana,
Twakutumaini Wewe Bwana;
Kamwe haupungui wako wema,
Mkombozi wetu Rafiki mwema.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 22. USINIPITE MWOKOZI
- 198. Kaza Sana Macho
- 123. Yesu Kwa Imani
- 180. Pana Mahali Pazuri Mno
- 186. HATUTAAGANA TENA
- 85. Salama Tumepita
- 111. Tabibu Mkuu
- 62. NAPENDA KITABU CHAKE
- 93. Jua La Rohoni Mwangu
- 6. KUMEKUCHA KWA UZURI
- 206. Mwokozi Wangu Anipenda
- 215. Ulimwengu Wataka
- 161. Piga Panda
- 203. Ya Saba Ni Kwa Yesu
- 39. ATI, KUNA MVUA NJEMA
- 216. Moyoni 'Nijaze