93. Jua La Rohoni Mwangu
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 93
Verse 1
Jua la rohoni mwangu, mpendwa Mwokozi wangu;
Usiku giza hapana, ukiwa karibu Bwana.
Verse 1
Nikipata usingizi, nijaze fikara hizi,
Ni tamu sana, nilale pendoni mwako milele.
Verse 2
Kaa nami, ewe Bwana, Usiku kama mchana,
Nisiishi mbali nawe; ni uhai kuwa nawe.
Verse 3
Kama mtoto mnyonge ameshawisha atange,
Mtafute Ewe Bwana, ujirudishie tena.
Verse 4
Wagonjwa wape amani, waneemeshe maskini,
Walio, Mtulizi, wape wote usingizi.
Verse 5
Asubuhi tutokapo, tukaribishe tulipo;
Twingiapo duniani tuwe mwako mkononi.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 198. Kaza Sana Macho
- 59. FANYENI KAZI ZENU
- 82. Ni Siku Ya Furaha
- 116. Moyo Safi
- 133. Po Pote Na Yesu
- 113. Bubujiko
- 24. JINA LA YESU TAMU
- 179. Watafurahi
- 95. Zileteni Zaka Kwa Hazina
- 70. Wapenzi Wa Bwana
- 111. Tabibu Mkuu
- 51. KUWA NA YESU
- 202. Sikia Mlio
- 166 – Furaha Kwa Ulimwengu
- 98. Nilikupa Wewe
- 54. NATAKA NIMJUE YESU!