82. Ni Siku Ya Furaha
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 82
Verse 1
Ni siku ya furaha, ni siku ya nuru;
Nasi twaona raha, Kuja kushukuru;
Leo watu wa Mungu, wadogo, wakubwa,
Hukaribia mbingu, lilipo baraka.
Verse 1
Leo, ndiyo bandari, nasi twawasili,
Hiyo bustani nzuri, ya nyingi fadhili:
Kijito cha baridi kimefanya ziwa,
Na kiu ikizidi, twanywa maridhawa.
Verse 2
Leo ngazi na iwe ifakayo juu,
Mawazo na yasiwe ya duniani tu;
Leo ni kujilisha chakula cha mbingu,
Na kujifurahisha kwa mambo ya Mungu.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 195. Musing Wa Kanisa
- 39. ATI, KUNA MVUA NJEMA
- 217. Omba Sana Asubuhi
- 48. NINAKUPENDA ZAIDI
- 64. PIGA PANDA
- 28. JINA LA THAMANI
- 52. NIPE BIBLIA
- 55. TWAPANDA MAPEMA
- 190. Raha Yangu Yote, Bwana
- 83. Ewe Skuli Ya Sabato
- 200. Baba Yetu Aliye Mbinguni
- 32. TANGU KUAMINI
- 11. JINA LA BWANA LI HERI
- 220. Kwa Heri
- 91. Kaa Nami
- 60. NITAKWENDA UTAKAPONITUMA