39. ATI, KUNA MVUA NJEMA
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 39
Verse 1
Ati, Kuna Mvua Njema,
Yanya Yenye Neema;
Watu Wanaona Vyema,
Bwana, Huninyeshei?
Chorus 1
Na Mimi? N Mimi?
Bwana, Huninyeshei?
Verse 2
Sinipite, Baba Mwema;
Dhanbini Nimezama:
Rehema Ni Za Daima;
Bwana, Hunionyeshi?
Chorus 3
Na Mimi? N Mimi?
Bwana, Huninyeshei?
Verse 4
Sinipite, Yesu Mwema;
Niwe Nawe Daima,
Natamani Kukwandana:
Bwana, Hunichukui?
Chorus 5
Na Mimi? N Mimi?
Bwana, Huninyeshei?
Verse 6
Sinipite, Roho Mwema,
Mpaji Wa Uzima,
Nawe Shahidi Wa Wema,
Bwana Wema Hunipi?
Chorus 7
Na Mimi? N Mimi?
Bwana, Huninyeshei?
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 51. KUWA NA YESU
- 77. Habari Za Usiku
- 183. YESU ANAPORUDI
- 111. Tabibu Mkuu
- 106. Huna Kitu Kwa Yesu?
- 87. Siku Ya Sabato
- 86. Ukaribie Tena
- 52. NIPE BIBLIA
- 155. Njiani Huniongoza
- 30. YESU, UNIPENDAYE
- 9. MWUMBAJI, MFALME
- 191. Mkate Wa Mbingu
- 185. MUNGU MAPENZI MAKAMILIFU
- 216. Moyoni 'Nijaze
- 40. NIJAZE SASA
- 75. Msingi Imara, Ninyi Wa Bwana