30. YESU, UNIPENDAYE
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 30
Verse 1
Yesu Unipendaye Kwako Nakimbilia,
Ni Wewe Utoshaye Mwovu Akinijia.
Yafiche Ubavuni Mwako Maisha Yangu;
Nifishe Bandarini, Wokoe Moyo Wangu.
Verse 1
Ngome Nyingine Sina; Nategemea Kwako,
Usinitupe Bwana, Nipe Neema Yako,
Ninakuamania, Mwenye Kuniwezesha;
Shari Wanikingia, Vitani Wanitosha.
Verse 2
Nakutaka Mpaji, Vyote Napata Kwako;
Niwapo Muhitaji, Utanijazi Vyako;
Nao Waangukao Wanyonge Wape Nguvu;
Poza Wauguao, Uongoze Vipofu.
Verse 3
Mwana Umeniosha Moyo Kwa Damu Yako;
Neema Ya Kutosha Yapatikana Kwako;
Kwako Bwana Naona Kisima Cha Uzima;
Mwangu Moyoni, Bwana, Bubujika Daima.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 174. Tukimngojea
- 48. NINAKUPENDA ZAIDI
- 115. Naendea Msalaba
- 26. (B) TUPE AMANI
- 170. Jina Langu Limeandikwa Je?
- 101. Yesu Akwita
- 103. Njoni Kwangu
- 57. USIKATAE KAZI
- 108. Tumesikia Mbiu By
- 74. Niambie, Ee Mlinzi
- 29. YESU, NAKUPENDA
- 121. Katika Wenye Dhambi
- 19. MSALABANI PA MWOKOZI
- 154. Yanipasa Kuwa Naye
- 201. Hunipenda Pia.
- 25. TAJI MVIKENI