201. Hunipenda Pia.
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 201
Verse 1
Mungu huona videge wanaoanguka;
Akiwapenda videge,vile hunipenda.
Chorus 1
Hunipenda, hunipenda, pia;
Najua ananipenda niliye mdogo.
Verse 2
Rangi ya namna nzuri upamba maua;
Akiyapenda maua, vile unipenda.
Chorus 3
Hunipenda, hunipenda, pia;
Najua ananipenda niliye mdogo.
Verse 4
Mungu aliyeviumba videge, maua,
Atasahau watoto kweli huwapenda.
Chorus 5
Hunipenda, hunipenda, pia;
Najua ananipenda niliye mdogo.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 89. Asubuhi
- 79. Nataka Imani Hii
- 206. Mwokozi Wangu Anipenda
- 180. Pana Mahali Pazuri Mno
- 220. Kwa Heri
- 28. JINA LA THAMANI
- 24. JINA LA YESU TAMU
- 78. Mpaka Lini Bwana
- 178. Ukingoni Mwa Yordani
- 202. Sikia Mlio
- 193. Sauti Yake Mchungaji
- 154. Yanipasa Kuwa Naye
- 87. Siku Ya Sabato
- 53. NAPENDA KUHUBIRI!
- 149. Kuwa Wake Yesu
- 156. Uniongoze, Yehova