79. Nataka Imani Hii
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 79
Verse 1
Nataka Imani Hii: Imani Imara
Ambayo Haitetemi, Kitu Chote, Wakati Wa Shida,
Wakati Wa Shida.
Verse 1
Isiyonung’unika Huzuni, Taabu;
Lakini Katika Saa, Ya Matata, Humwamini Mungu,
Humwamini Mungu.
Verse 2
Imani Inayo Ng’aa Katika Tufani;
Isiyoogopa Giza, Wala Shida, Njaa Na Hatari,
Njaa Na Hatari.
Verse 3
Haiogopi Dunia, Kudharau Kwake;
Haiangushwi Na Hila, Na Uwongo, Dhambi Na Ogofyo,
Dhambi Na Ogofyo.
Verse 4
Bwana, Nipe Imani Hii, Hivi Nita Weza
Kuonja Hapa Chini, Ulimwenguni, Kurithi Furaha,
Kurithi Furaha.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 77. Habari Za Usiku
- 120. Msalaba wa Yesu
- 4. Jina La Yesu, Salamu
- 81. Siku Sita Zimepita
- 48. NINAKUPENDA ZAIDI
- 45. MWANGA UMO MWOYONI
- 165 – Uwe Imara
- 192. Mwamba Wenye Imara
- 93. Jua La Rohoni Mwangu
- 158. U Mwendo Gani Nyumbani?
- 65. TWENDENI ASKARI
- 173. Hatujui Saa
- 191. Mkate Wa Mbingu
- 148. Univute Karibu
- 128. Taamini Nitii Pia
- 132. Bwana Ni Mchunga