45. MWANGA UMO MWOYONI
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 45
Verse 1
Mlimani Pana Mwanga, Mwanga Wa Jua Zuri
Shambani Na Bahari Jua Tukufr Liko;
Mwnga Ulio Mkubwa Umo Moyoni Mwangu,
Kwa Kuwa Yesu Alipo Hapa Pana Mwangaza.
Chorus 1
Mwangaza Ulio Mzuri,
Mwanga Umo Moyoni;
Akiwapo Bwana Yesu
Pana Mwanga Moyoni.
Verse 2
Kama Mavazi Kikuu Ninavua Huzuni:
Nguo Nzuri Za Furaha Umenipa Za Kuvaa.
Nakuandana Rohomi Hata Nyumba Ya Juu
Iliyo Pambwa Vizuri Katika Pendo Lako.
Chorus 3
Mwangaza Ulio Mzuri,
Mwanga Umo Moyoni;
Akiwapo Bwana Yesu
Pana Mwanga Moyoni.
Verse 4
Ulinikomboa Yesu; Maisha Yangu, Mali,
Vyote Ni Vyako, Mwokozi-Daima Nikusifu.
Nakuandana Rohomi Hata Nyumba Ya Juu
Iliyo Pambwa Vizuri Katika Pendo Lako.
Chorus 5
Mwangaza Ulio Mzuri,
Mwanga Umo Moyoni;
Akiwapo Bwana Yesu
Pana Mwanga Moyoni.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 59. FANYENI KAZI ZENU
- 79. Nataka Imani Hii
- 19. MSALABANI PA MWOKOZI
- 91. Kaa Nami
- 133. Po Pote Na Yesu
- 69. Cha Kutumaini Sina
- 205. Msifu Mungu Ee Watoto
- 169. Tutashindae Hukumuni?
- 201. Hunipenda Pia.
- 128. Taamini Nitii Pia
- 80. Tupe Moto Wa Uhai
- 122. Yote Namtolea Yesu
- 190. Raha Yangu Yote, Bwana
- 20. MUNGU WETU YEYE MWAMBA
- 170. Jina Langu Limeandikwa Je?
- 141. Chini Ya Msalaba