19. MSALABANI PA MWOKOZI
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 19
Verse 1
Msalabani pa Mwokozi Hapo niliomba upozi,
Moyo wangu ulitakaswa, Na asifiwe.
Chorus 1
Na asifiwe, na asifiwe.
Alitukomboa kwa damu, Na asifiwe.
Verse 2
Chini ya mti msumbufu Niliomba utakatifu,
Alinikomboa kwa damu, Na asifiwe.
Chorus 3
Na asifiwe, na asifiwe.
Alitukomboa kwa damu, Na asifiwe.
Verse 4
Kwa ajabu ninaokoka, Yesu anakaa moyoni;
Mtini alinifilia, Na asifiwe.
Chorus 5
Na asifiwe, na asifiwe.
Alitukomboa kwa damu, Na asifiwe.
Verse 6
Damu ya Yesu ya thamani Huniokoa makosani;
Huniendesha wokovuni, Na asifiwe.
Chorus 7
Na asifiwe, na asifiwe.
Alitukomboa kwa damu, Na asifiwe.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 70. Wapenzi Wa Bwana
- 195. Musing Wa Kanisa
- 201. Hunipenda Pia.
- 96. Mali Yako Sasa
- 40. NIJAZE SASA
- 21. BABA TWAKUJIA
- 38. NASIFU SHANI YA MUNGU
- 151. Huniongoza Mwokozi
- 206. Mwokozi Wangu Anipenda
- 47. NI HERI KIFUNGO
- 159. Anakuja Upesi
- 119. Alilipa Bei
- 147. Uishi Ndani Yangu
- 178. Ukingoni Mwa Yordani
- 100. Kuwatafuta
- 137. Saa Heri Ya Sala