4. Jina La Yesu, Salamu
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 4
Verse 1
Jina La Yesu, Salamu! Lisujudieni,
Ninyi Mbinguni, Hukumu, Na Enzi Mpeni.
Ninyi Mbinguni, Hukumu, Na Enzi Mpeni.
Verse 1
Enzi Na Apewe Kwenu, Watetea Dini;
Mtukuzeni Bwana Wenu, Na Enzi Mpeni.
Mtukuzeni Bwana Wenu, Na Enzi Mpeni.
Verse 2
Enyi mbegu ya rehema nanyi msifuni;
Mmeponywa kwa neema, Na enzi mpeni.
Mmeponywa kwa neema, Na enzi mpeni.
Verse 3
Wenye dhambi kumbukeni ya msalabani.
Kwa furaha msifuni, Na enzi mpeni.
Kwa furaha msifuni, Na enzi mpeni.
Verse 4
Kila mtu duniani msujudieni,
Kote-kote msifuni, Na enzi mpeni.
Kote-kote msifuni, Na enzi mpeni.
Verse 5
Sisi na wao pamoja tu mumo sifani.
Milele sifa ni moja, ni 'enzi mpeni'.
Milele sifa ni moja, ni 'enzi mpeni'.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 138. Nitakuandama Kote
- 135. Kwa Maombi Nachangamka
- 158. U Mwendo Gani Nyumbani?
- 125. Uniangalie
- 166 – Furaha Kwa Ulimwengu
- 37. PENDO LAKO, EE MWOKOZI
- 61. BWANA, NAMI
- 146. Twae Wangu Uzima
- 217. Omba Sana Asubuhi
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 181. TUTAKAA MAHALI PA MAJI
- 25. TAJI MVIKENI
- 78. Mpaka Lini Bwana
- 174. Tukimngojea
- 190. Raha Yangu Yote, Bwana
- 148. Univute Karibu