61. BWANA, NAMI
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 61
Verse 1
Nimemwona Rafiki, Wa Thamani Kubwa,
Ana Ni Penda Kwa ‘Pole, Kwa Pendo Amini:
Kuishi Kutengwa Naye, La, Huku Siwezi,
Tunakaa Pamoja: Bwana Nami.
Verse 1
Pengine Ninachoka, Mimi Mdhaifu,
Ndipo Ninamtehemea, Alivyoalika;
Huniongoza Njiani, Pahali Pa Nuru
Twatembea Pamoja, Bwana Nami.
Verse 2
Namweleza Huzuni, Nafuraha Yangu,
Vile Vinavyosumbua, Vinavyopendeza;
Huniagiza Kutenda, Yanayonipasa
Twazungumza Pamoja, Bwana Nami.
Verse 3
Ajua Natamani, Kuwavuta Watu,
Hivyo Ananipeleka, Kutangaza Neno;
Nitangaze Pendo Lake, Kwa Nini Akafa;
Twahubiri Pamoja, Bwana Nami.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 190. Raha Yangu Yote, Bwana
- 17. SI MIMI, KRISTO
- 104. Yesu Aliniita “Njoo”
- 214. Nataka Niwe Tayari
- 76. Mrithi Ufalme
- 53. NAPENDA KUHUBIRI!
- 149. Kuwa Wake Yesu
- 35. NIMEKOMBOLEWA NA YESU
- 150. Hasha Maneno Mabaya Yasitoke
- 18. MWOKOZI, KAMA MCHUNGA
- 45. MWANGA UMO MWOYONI
- 66. ROHO YANGU AMKA SASA
- 103. Njoni Kwangu
- 194. Twaomba Baraka Zako
- 155. Njiani Huniongoza
- 55. TWAPANDA MAPEMA