104. Yesu Aliniita “Njoo”
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 104
Verse 1
Yesu aliniita, “Njoo Raha iko kwangu,
Kichwha chko ukilaze Kifuani mwangu”
Nilikwenda kwake mara, sana nilichoka;
Nikapata kwake raha Na furaha tena.
Verse 1
Yesu aliniita, “Njoo, Kwangu kuna maji;
Maji ya Uzima, bure, Unywe uwe hai.”
Nilikwenda kwake mara na maji nikanywa;
Naishi kwake na kiu Kamwe sina tena.
Verse 2
Yesu aliniita, “Njoo, Dunia i giza,
Ukinitazama, nuru Takung’arizia.’
Nili kwenda kwake mara, Yeye jua langu,
Ni kila wakati mwanga Safarini Mwangu.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 50. MUNGU NAWE NANYI DAIMA
- 158. U Mwendo Gani Nyumbani?
- 128. Taamini Nitii Pia
- 21. BABA TWAKUJIA
- 186. HATUTAAGANA TENA
- 37. PENDO LAKO, EE MWOKOZI
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 219. Pambazuka Nuru
- 88. Siku Hii Ya Sabato
- 84. Ikumbuke Sabato
- 220. Kwa Heri
- 208. Mungu Afanya Upinde
- 103. Njoni Kwangu
- 175. Uso Kwa Uso
- 51. KUWA NA YESU
- 8. UJE MKOMBOZI