37. PENDO LAKO, EE MWOKOZI
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 37
Verse 1
Pendo Lako, Ee Mwokozi, Hushinda Pendo Zote!
Kaa Nasi, Ndani Yetu, Furaha Ya Mbinguni.
Yesu, U Rehema Tupu. Safi Na Kusamehe,
Mfariji Mwenye Huzuni Ziondoe Machozi.
Verse 1
Roho Yako Ya Upendo Tuma Kwa Kundi Lako;
Hebu Tuirithi Raha, Iliyoahidiwa.
Uondoe Moyo Mbaya, U Mwanzo, Tena Mwisho
Timiza Imani Yetu, Ili Tuwekwe ‘ Huru.
Verse 2
Yesu, uje kwetu sasa, Tupokee huruma;
Rudi kwetu, tena kamwe Usituache pekee,
Tungekutukuza leo, Pamoja na malaika,
Imba na kutoa sifa, Ingia kwa ibada.
Verse 3
Sasa, Bwana, kazi yako, Imalize moyoni;
Takasa hekalu lako, Wokovu kamilisha!
Safisha viumbe vyako Katika wakati huu;
Tupumzike 'toka dhambi, Tuingie mbinguni.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 205. Msifu Mungu Ee Watoto
- 115. Naendea Msalaba
- 154. Yanipasa Kuwa Naye
- 204. Kuwa Na Yesu Nyumbani
- 127. Nisalama Rohoni Mwangu
- 184. PANAPO PENDO
- 187. KUFARIKI NAYE YESU
- 178. Ukingoni Mwa Yordani
- 40. NIJAZE SASA
- 150. Hasha Maneno Mabaya Yasitoke
- 140. Hivi Nilivyo Unitwae
- 4. Jina La Yesu, Salamu
- 192. Mwamba Wenye Imara
- 134. Tafuta Daima Utakatifu
- 82. Ni Siku Ya Furaha