146. Twae Wangu Uzima
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 146
Verse 1
Twae wangu uzima sadaka ya daima;
Twae saa na usiku Zikutukuze huku.
Verse 1
Twae mikono nayo, ifanye upendayo,
Twae yangu miguu, Kwa wongozi wako tu.
Verse 2
Twae sauti yangu, niimbe kwa Mungu tu;
Itwae na midomo, Ijae neno lako.
Verse 3
Twae dhahabu pia Na yote ya dunia;
Twae yangu hekima, upendavyo tumia.
Verse 4
Nia itwae, Mungu, haitakuwa yangu;
Twae moyo; ni wako, uwe makazi yako.
Verse 5
Twae mapenzi yangu, sifa za moyo wangu;
Twae kabisa nafsi Niwe wako halisi.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 53. NAPENDA KUHUBIRI!
- 205. Msifu Mungu Ee Watoto
- 81. Siku Sita Zimepita
- 209. Napenda Sana Kifika
- 26. (B) TUPE AMANI
- 51. KUWA NA YESU
- 7. MUNGU MSAADA WETU
- 14. NITEMBEE NAWE
- 26. (A) TUTOKAPO TUBARIKI
- 82. Ni Siku Ya Furaha
- 25. TAJI MVIKENI
- 140. Hivi Nilivyo Unitwae
- 45. MWANGA UMO MWOYONI
- 213. Niwe Nao Uzuri Wa Mwokozi
- 42. EWE ROHO WA MBINGUNI
- 164. Mishale Ya Nuru