26. (B) TUPE AMANI
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 26
Verse 1
Mungu mtukufu Aliyeumba
Pepo kuvuma Na radi kali;
Toa neema unapotawala,
Tupe amani Bwana wa wema.
Verse 1
Mungu wa neema, Nchi imeacha
Amri tukufu Na Neno lako;
Hasira zako Zisituharibu,
Tupe amani, Bwana wa wema.
Verse 2
Mwumbaji wa haki, Watu wabaya
Wamedharau Utukufu wako;
Lakini wema wako Utadumu;
Endesha kweli Bwana wa wema.
Verse 3
Tunakutolea Ibada safi
Kwa ajili ya Wokovu wako;
Hivi tunaziimba Sifa zako;
Wako uwezo Na utukufu.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 9. MWUMBAJI, MFALME
- 120. Msalaba wa Yesu
- 210 – MAITIKIO
- 99. Twende kwa yesu
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 175. Uso Kwa Uso
- 102. Mlango Pa Moyo
- 212. Mtazame Mwokozi
- 91. Kaa Nami
- 63. NIUONAPO MSALABA
- 194. Twaomba Baraka Zako
- 87. Siku Ya Sabato
- 74. Niambie, Ee Mlinzi
- 132. Bwana Ni Mchunga
- 103. Njoni Kwangu
- 46. MIGUUNI PAKE YESU