24. JINA LA YESU TAMU
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 24
Verse 1
Jina Lake Yesu Tamu Tukilisikia,
Hutupoza, Tena Hamu Hutuondolea.
Verse 1
Roho Ilioumia Kwalo Hutibika,
Chakula, Njaani Pia; Raha, Tukichoka.
Verse 2
Jina Hili Ni Msingi, Ngao, Ngome, Mwamba,
Kwa Hili Napata Ungi, Kwangu Ni Akiba.
Verse 3
Yesu, Mchunga, Rafiki, Mwalimu, Kuhani,
Mwanzo, Mwisho, Na Amina, Mali Yangu Yote!
Verse 4
Moyo Wangu Hauwezi Kukusifu Kweli;
Ila Sifa Zangu Hizi, Bwana, Zikubali.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 9. MWUMBAJI, MFALME
- 192. Mwamba Wenye Imara
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 152. Karibu Na Wewe, Mungu Wangu
- 64. PIGA PANDA
- 61. BWANA, NAMI
- 16. NINAKUHITAJI
- 185. MUNGU MAPENZI MAKAMILIFU
- 142. Nasikia Sauti Yako
- 175. Uso Kwa Uso
- 135. Kwa Maombi Nachangamka
- 215. Ulimwengu Wataka
- 84. Ikumbuke Sabato
- 83. Ewe Skuli Ya Sabato
- 154. Yanipasa Kuwa Naye
- 113. Bubujiko