1. Songs

185. MUNGU MAPENZI MAKAMILIFU

Nyimbo za Kristo

Verse 1

Mungu u mapenzi mkamilifu,

Yapitayo fahamu za watu,

Twanyenyekea sisi wapungufu,

Wape baraka wapenzi wetu.

Verse 1

Ewe Mapenzi yasiyotimika,

Twawaombea kitini Mwako,

Wape mapenzi yasiyotindika,

Walioona mbele yako.

Verse 2

Ewe uhai, wewe u dhamana,

Ya imani na matumaini,

Wape kuvumilia hapa sana,

Wasiche maumivu mwishoni.

Verse 3

Wape furaha hiyo iwezayo,

Kutia nuru kwenye huzuni,

Wape amani hiyo itakwayo,

Katika matata duniani.

Verse 4

Waende mbele kusaidiana,

Maisha yao ulimwenguni;

Hata mwisho, ni kuja kwake Yesu,

Wafurahi milele mbinguni.

Present this song in WorshipOne →Ready-made slides, chord transposition and mobile remote control.
Share
Transpose in WorshipOneEdit in WorshipOne

More Swahili songs