34. HADITHI KISA CHA YESU
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 34
Verse 1
Nipe Habari Za Yesu, Kwangu Ni Tamu Sana;
Kisa Chake Cha Thamani, Hunipendeza Sana.
Jinsi Malaika Wengi, Walivyoimba Sifa,
Alipoleta Amani, Kwa Watu Wa Dunia.
Chorus 1
Nipe Habari Za Yesu, Kaza Moyoni Mwangu;
Kisa Chake Cha Thamani Hunipendeza Sana.
Verse 2
Kisa Cha Alivyofunga, Peke Yake Jangwani.
Jinsi Alivyolishinda, Jaribu La Shetani;
Kazi Aliyoifanya, Na Siku Za Huzuni,
Jinsi Walivyomtesa: Yote Ni Ya Ajabu!
Chorus 3
Nipe Habari Za Yesu, Kaza Moyoni Mwangu;
Kisa Chake Cha Thamani Hunipendeza Sana.
Verse 4
Habari Za Msalaba, Aliposulubishwa;
Jinsi Walivyo Mzika, Akashinda Kaburi.
Kisa Chake Cha Rehema, Upendo Wake Kwangu,
Aliyetoa Maisha, Nipokee Wokovu.
Chorus 5
Nipe Habari Za Yesu, Kaza Moyoni Mwangu;
Kisa Chake Cha Thamani Hunipendeza Sana.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 163. Anakuja, Bwana Yesu
- 13. YESU UJE KWETU
- 172. Mfalme Ajapo
- 91. Kaa Nami
- 168. Tarumbeta Ya Mwana
- 47. NI HERI KIFUNGO
- 92. Magharibi Jua
- 15. NENA ROHONI YESU
- 60. NITAKWENDA UTAKAPONITUMA
- 79. Nataka Imani Hii
- 65. TWENDENI ASKARI
- 66. ROHO YANGU AMKA SASA
- 219. Pambazuka Nuru
- 137. Saa Heri Ya Sala
- 55. TWAPANDA MAPEMA
- 217. Omba Sana Asubuhi