1. Songs

58. ZITAKUWA NYOTA TAJINI?

Nyimbo za Kristo

Verse 1

Leo ninafikiri ya nchi nzuri

Ninayotaka kuiona;

Nisimamapo karibu na Mwokozi,

Tajini zitakuwa nyota?

Chorus 1

Sijui tajini mwangu kama nyota

Zitang'aa kila wakati!

Nitakapoamka katika majumba,

Zitakuwa nyota tajini?

Verse 2

Kwa nguvu za Bwana nitafanya kazi,

Nitavuta roho za watu,

Ili niwe na nyota katika taji,

Bwana anapotupa tunu.

Chorus 3

Sijui tajini mwangu kama nyota

Zitang'aa kila wakati!

Nitakapoamka katika majumba,

Zitakuwa nyota tajini?

Verse 4

Nitakuwa na furaha nikimwona,

Kuweka miguuni pake

Watu waliovutwa kwa ajili ya

Kazi yangu na Roho yake.

Chorus 5

Sijui tajini mwangu kama nyota

Zitang'aa kila wakati!

Nitakapoamka katika majumba,

Zitakuwa nyota tajini?

Present this song in WorshipOne →Ready-made slides, chord transposition and mobile remote control.
Share
Transpose in WorshipOneEdit in WorshipOne

More Swahili songs