145. Namtaka Bwana Yesu
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 145
Verse 1
Ulimwengu siutaki, Namtaka Bwana yesu;
Dunia hunidanganya; yesu yu mwaminifu.
Chorus 1
Rehema ni ya ajabu! Pendo bila kipimo!
Wokovu mkamilifu, Amana ya uzima.
Verse 2
Ulimwengu siutaki, Namtaka Bwana yesu;
Kati ya dhoruba kali Yeye wimbo mtamu.
Chorus 3
Rehema ni ya ajabu! Pendo bila kipimo!
Wokovu mkamilifu, Amana ya uzima.
Verse 4
Ulimwengu siutaki, namtaka Bwana yesu;
Safarini duniani Yeye furaha yangu.
Chorus 5
Rehema ni ya ajabu! Pendo bila kipimo!
Wokovu mkamilifu, Amana ya uzima.
Verse 6
Ulimwengu siutaki, Namtaka Bwana yesu;
Msalaba naamini, Hata Namwona Yesu.
Chorus 7
Rehema ni ya ajabu! Pendo bila kipimo!
Wokovu mkamilifu, Amana ya uzima.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 16. NINAKUHITAJI
- 37. PENDO LAKO, EE MWOKOZI
- 25. TAJI MVIKENI
- 142. Nasikia Sauti Yako
- 135. Kwa Maombi Nachangamka
- 176. Ati Tuonane Mtoni?
- 126. Nina Haja Nawe
- 134. Tafuta Daima Utakatifu
- 32. TANGU KUAMINI
- 94. Po Pote Mashamba Yajaa
- 46. MIGUUNI PAKE YESU
- 206. Mwokozi Wangu Anipenda
- 100. Kuwatafuta
- 103. Njoni Kwangu
- 151. Huniongoza Mwokozi
- 42. EWE ROHO WA MBINGUNI