94. Po Pote Mashamba Yajaa
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 94
Verse 1
Po pote mashamba yajaa, tele nafaka pevu,
Po pote yang’aa meupe bondeni na nyandani.
Chorus 1
Mwenye mavuno, twasihi upeleke wavuni,
Wayakusanye mazao, hata kazi yaishe.
Verse 2
Wapeleke uchaoni, waende na jotoni,
Hata jua lishukapo wakusanye ko kote.
Chorus 3
Mwenye mavuno, twasihi upeleke wavuni,
Wayakusanye mazao, hata kazi yaishe.
Verse 4
Enyi wakazi wa Bwana yaleteni mazao,
Na jioni ingieni kwake na furaha kuu.
Chorus 5
Mwenye mavuno, twasihi upeleke wavuni,
Wayakusanye mazao, hata kazi yaishe.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 41. ROHO MTAKATIFU
- 140. Hivi Nilivyo Unitwae
- 203. Ya Saba Ni Kwa Yesu
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 184. PANAPO PENDO
- 207. Nani Afanya Maua
- 89. Asubuhi
- 220. Kwa Heri
- 193. Sauti Yake Mchungaji
- 67. KESHA ROHO YANGU
- 32. TANGU KUAMINI
- 69. Cha Kutumaini Sina
- 80. Tupe Moto Wa Uhai
- 91. Kaa Nami
- 19. MSALABANI PA MWOKOZI
- 138. Nitakuandama Kote