90. Mapya Ni Mapenzi
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 90
Verse 1
Mapya ni mapenzi hayo, Asubuhi tuonayo;
Saa za giza hulindwa, Kwa uzima kuamka.
Verse 1
Kila saku, mapya pia, Rehema, wema na afya,
Wokovu na msamaha, Mawazo mema, furaha.
Verse 2
Tukijitahidi leo Na mwendo utupasao,
Mungu atatueleza Yatakayompendeza.
Verse 3
Mamboyetu ya dunia Bwana atayang’aria,
Matata atageuza Yawe kwetu ya baraka.
Verse 4
Yaliyo madogo, haya Bwana tukimfanyia,
Yatosha: tutafaidi Huvuta kwake zaidi.
Verse 5
Ewe Bwana, siku zote, Tusaidie kwa yote:
Mwendo wetu wote vivyo, Uwe kama tuombavyo.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 128. Taamini Nitii Pia
- 94. Po Pote Mashamba Yajaa
- 136. Niwe Kama Yesu
- 98. Nilikupa Wewe
- 26. (A) TUTOKAPO TUBARIKI
- 123. Yesu Kwa Imani
- 124. Umechoka Umesumbuka
- 33. KARIBU SANA
- 152. Karibu Na Wewe, Mungu Wangu
- 13. YESU UJE KWETU
- 138. Nitakuandama Kote
- 38. NASIFU SHANI YA MUNGU
- 106. Huna Kitu Kwa Yesu?
- 88. Siku Hii Ya Sabato
- 179. Watafurahi
- 29. YESU, NAKUPENDA