36. SIKU KUU
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 36
Verse 1
Ni Siku Kuu Siku Ile, Ya Kumkiri Mwokozi!
Moyo Umejaa Tele, Kunyamaza Hauwezi.
Chorus 1
Siku Kuu! Siku Kuu!
Ya Kwoshwa Dhambi Zangu Kuu!
Hukesha Na Kuomba Tu,
Ananiongoza Miguu.
Siku Kuu! Siku Kuu!
Ya Kwoshwa Dhambi Zangu Kuu.
Verse 2
Tumekwisha Kupatana, Mimi Wake Yeye Wangu,
Na Sasa Nitamwandama, Nikiri Neno La Mungu.
Chorus 3
Siku Kuu! Siku Kuu!
Ya Kwoshwa Dhambi Zangu Kuu!
Hukesha Na Kuomba Tu,
Ananiongoza Miguu.
Siku Kuu! Siku Kuu!
Ya Kwoshwa Dhambi Zangu Kuu.
Verse 4
Moyo Tulia Kwa Bwana, Kiini Cha Raha Yako:
Huna Njia Nbili Tena: Uwe Naye, Yote Ndako.
Chorus 5
Siku Kuu! Siku Kuu!
Ya Kwoshwa Dhambi Zangu Kuu!
Hukesha Na Kuomba Tu,
Ananiongoza Miguu.
Siku Kuu! Siku Kuu!
Ya Kwoshwa Dhambi Zangu Kuu.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 218. Yesu Mwokozi Mpendwa
- 126. Nina Haja Nawe
- 62. NAPENDA KITABU CHAKE
- 198. Kaza Sana Macho
- 138. Nitakuandama Kote
- 118. Nilipotoka Kabisa
- 29. YESU, NAKUPENDA
- 170. Jina Langu Limeandikwa Je?
- 192. Mwamba Wenye Imara
- 57. USIKATAE KAZI
- 152. Karibu Na Wewe, Mungu Wangu
- 82. Ni Siku Ya Furaha
- 162. Tumaini Liko
- 100. Kuwatafuta
- 83. Ewe Skuli Ya Sabato
- 87. Siku Ya Sabato