27. TENA, MWOKOZI, TWALITUKUZA
- Swahili
- Maneno / Lyrics
- Key C
- Hymn 27
Verse 1
Tena, Mwokozi, twalitukuza
Jina lako lenye kupendeza,
Twangojea neno la amani,
Kabla hatujakwenda nyumbani.
Verse 1
Tupe amani njiani mwetu,
Wewe u mwanzo, u mwisho wetu;
Dhambini kamwe isiingie
Midomo ikitajayo wewe.
Verse 2
Utupe amani usiku huu,
Ili gizani kuwe nuru kuu.
Tulinde kwa kuwa kwako Bwana
Usiku ni sawa na mchana.
Verse 3
Tupe amani ulimwenguni
Ndiyo dawa yetu majonzini;
Na ikitwita sauti yako,
Tupe amani milele kwako.
More Swahili songs
- 2. Twamsifu Mungu
- 1. MTAKATIFU, MTAKATIFU, MTAKATIFU
- 110. Mlango Wazi
- 112. Wewe Umechoka Sana?
- 3. MUNGU ATUKUZWE
- 10. KRISTO WA NEEMA YOTE
- 68. Tusimame Imara Mwambani
- 72. Jenga Juu Ya Mwamba By
- 154. Yanipasa Kuwa Naye
- 205. Msifu Mungu Ee Watoto
- 76. Mrithi Ufalme
- 181. TUTAKAA MAHALI PA MAJI
- 158. U Mwendo Gani Nyumbani?
- 64. PIGA PANDA
- 123. Yesu Kwa Imani
- 11. JINA LA BWANA LI HERI
- 169. Tutashindae Hukumuni?
- 97. Sioshwi Dhambi Zangu
- 43. FURAHA GANI!
- 116. Moyo Safi
- 88. Siku Hii Ya Sabato
- 203. Ya Saba Ni Kwa Yesu
- 23. YESU FURAHA YA MOYO
- 105. Mchungaji Mpenzi